Email:info@zyc.go.tz
   

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar

Baraza la Vijana Zanzibar

KAMPENI YA “IMARISHA MABARAZA YA VIJANA ZANZIBAR”

UTANGULIZI

Kampeni ya Imarisha Mabaraza ya Vijana Zanzibar ni kampeni ya kuyasimamisha na kuyaimarisha Mabaraza ya Vijana Zanzibar kiutendaji. Kampeni hii imekuja baada ya Baraza la Vijana Zanzibar kupitia shughuli zake za kila siku kufanya ziara kwa Mabaraza ya Vijana Wilaya zote za Unguja na Pemba kuanzia tarehe 15 Oktoba 2024 hadi 06 Novemba 2024.

Miongoni mwa changamoto zilizobainika ni pamoja na Mabaraza ya Vijana kutokufanya kazi vizuri na kutokuwepo uongozi kamili katika baadhi ya ngazi. Hivyo, kampeni hii inalenga kuleta uhai kwa Mabaraza ya Vijana kwa kuhakikisha sauti zao zinasikika, changamoto zao zinatatuliwa, na mchango wao unatambuliwa.

LENGO KUU LA KAMPENI

MUDA WA KAMPENI

Kampeni hii ni ya miaka mitatu (3) kuanzia tarehe 1 Januari 2025 hadi 31 Disemba 2027.

MALENGO MAHSUSI

MIKAKATI YA KAMPENI

MATARAJIO

HITIMISHO

Ni wakati sahihi sasa kuleta uhai wa Mabaraza ya Vijana Zanzibar ili kutimiza adhima ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Baraza la Vijana litafanya mashirikiano na wadau mbali mbali ili kufanikisha malengo hayo. Kampeni hii itakuwa kiungo muhimu kwa Mabaraza ya Vijana ngazi ya Shehia, Wilaya, na Taifa.

Taarifa za Miradi